'Pozze anakuanga amechanganywa na mabinti,' Mashabiki wasema

Muhtasari

•Pozze anakuanga amechanganywa na mabinti

•Yaani bado madem mnajipelekanga kwa pozze wacha awafunze adabu

Willy paul na shakilla
Image: hisani

Mashabiki kwenye mitandao ya kijamii wameweza kuchangia na kuzungumzia drama iliyopo kati ya msanii Willy Paul na mwanasosholaiti Shakilla.

Hii ni baada ya Willy Jumanne kudai alimripoti Shakilla baada ya kuingia kwake kwa nguvu, huku baada ya Shakilla kutoka alidai kuwa walikuwa wanajuana bali alimripoti na kukamatwa.

"Sijawaji hisi kudanganywa hici maishani mwangu kama jana mtu kukupigia simu vizuri uende mahali ambapo unafafahamu na sisi sote tunafafahamu lakini mtu anakuweka kwa mtego na kusema kuwa nilijilazimisha kwake kama wtf." Shakilla Aliandika.

Drama ya wawili hao imeibua hisia mseto kwenye mitandao ya kijamii, na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

Shakilla
Image: Hisani

.e.d.g.a.r. Pozze anakuanga amechanganywa na mabinti

Mutugi Wa Kinyua They are just pulling a stunt..willy paul Ako karibu kurelease zile thrash songs zake

Maggy Mutheu When are the celebs giving us a break?

Makinda Mogendi There is no way a lady can go trespass a man’s house unless she knows the house well. There are thousands of houses in Nairobi, why exactly did she choose Mkunaji’s?! She is an attention seeker but hapa Mkunaji amecheza chafu

savosavager Kuwa celebrity gharama😂