Mchekeshaji Chipukeezy alazwa hospitalini

Muhtasari
  • Aliyekuwa mcheshi wa churchill Chipukeezy alazwa hospitalini
  • Chipukeezy hajasema anaugua ugonjwa upi na ni kwa muda upi amekuwa hospitalini
Chipukeezy
Image: Hisani

Aliyekuwa mchekeshaji wa Churchill show Chipukeezy amewaacha mashabiki wake na hofu baada ya kufichua kuwa amelazwa hospitalini.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Chipukeezy aliposti picha na kuandika ujumbe mfupi unaosoma kama vile ufuatao;

"Mwanamume chini, afueni ya haraka Kasee." Chipukeezy Aliandika.

Hata hivyo hakufichua alichokuwa anaugua na amekuwa katika hospitali kwa muda gani, Chipukeezy amekuwa akiwasaidia wachekeshaji chipukizi humu nchini.

Kutoka kwetu wanajambo tunamtakia afueni ya haraka.

View this post on Instagram

Man down! Get well soonest kasee! 🤒

A post shared by Vinie Chipukeezy (@chipukeezy) on

Baada ya mashabiki na marafiki zake kuona ujumbe wake walimtakia afueni ya haraka na hizi hapa baadhi za jumbe zao.

ekodydda: Quick recoveryđź‘‘

mcatricky: Kasee eka we quick recovery

saumu_mbuvi_7: Get well soon bro

ghost_mulee's : Quick recovery