Chairman wa harusi utaoa lini? Mashabiki wamuulizi mwanahabari Trevor Ombija

Muhtasari
  • Trevor taabani baada ya kumpongeza ndugu yake huku mashabiki wakimwambia anapaswa kuoa
Ombija-trevor-696x418
Ombija-trevor-696x418

Mwanahabari wa runinga ya Citizen Trevor Ombija anafahamika sana kwa sauti yake ya kutangaza na bidii yake katika kazi, lakini mwanahabari huyo hajaweza kufunga pingu za maisha.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alimpongeza mmoja wa ndugu zake  baada ya kufunga pingu za maisha.

Ujumbe wake hukupokelewa vyema na mashabiki wake huku wengi wakimuuliza ni lini ataweza kuoa kwa maana amekuwa mwenyekiti wa harusi kwa muda mrefu na kuhudhuria harusi lakini hajaweza kupata mpenzi ambaye anafunga pingu za maisha naye.

Huu hapa ujumbe wa Trevor akimpongeza nduguye;

"Hatimaye rafiki yangu Pius ameoa kama #mwenyekiti nilikuwa na wasiwwasi  na watakia #upendo#furaha#amani @crestwoodcomms wamemkubali Fidelis katika familia." Aliandika Trevor.

Mashabiki wake baada ya kuona ujumbe wake walikuwa na haya ya kusema;

Saddique Shaban Na wewe utaoa lini?

Enock Sikolia Zicky Kaka let’s now turn the table…. Over to you Trevor Ombija…. Ama namna gani Saddique Shaban?

joydoreenbiira And Now all eyes are on? ……..

wainaina_shakes Wewe utaoa lini

alfredmisati : Boss now we are looking at you.

ogaloberyl: But this guy likes being the chairman at most weddings. I am waiting to be invited@trevorombija