Kutana na wanaume mashuhuru ambao hawajaoa licha ya umri wao

Muhtasari
  • Orodha ya wanaume mashuhuri ambao hawajaoa licha ya umri wao
larry madowo
larry madowo

Ndio tumewafahamu kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye runinga zetu kwa mambo ambayo wanafanya kuwafurahisha mashabiki wao.

Licha ya wao kuwa na pesa na licha ya umri wao bado hawajaweza kuoa mke au kupata jiko.

Hii hapa orodha ya wanaumr mashuhuri ambao hawajaoa'

 

1.Victor Wanyama

Mchezaji huyo anafahamika sana kwa kazi yake nzuri ya uchezaji kandanda, licha ya umri wake bado Victor hajatangaza kuwa amepata jiko.

2.Maina Kageni

Kageni ni mtangazaji wa classic 105 ambapo amepokea ombi nyingi kutoka kwa mashabiki wake wanawake aweze kuwaoa, lakini licha ya hayo yote mtangazaji huyo hajapata jiko wala kumtambulisha mpenzi wake hadharani.

3.Larry Madowo

Ni mwanahabarii ambaye ametamba na kujulikana sana ulimwenguni mzima. Madowo licha ya kuwa na mshahara mzuri na kazi nzuri bado ni bachela ambaye hajapata jiko.

Miongoni mwa wanaume wengine ni pamoja na CBK Governor miongoni mwa wanaume wengine.

 

Swali kuu ambalo wanamitandao na mashabiki huwa wanauliza je wanangoja nini?

Wengi husema ya kwamba ndoa ni kitu chema na ampataye mke mwema amepata kitu kizuri licha ya changamoto za kawaida katika ndoa.