'Utamwaga unga,'Wanamitandao wamwambia Larry Madowo baada ya kusema haya

Muhtasari

Mwanahabari Madowo asema yuko tayari kuacha uhanahabari na kuwa mpishi

madowo1
madowo1

Si bachela wote wanaweza kupika na kisha kuanza kujisifu kwenye mitandao ata wengi hushindwa kusafisha nyumba yao.

Si wote ambao wana kazi nzuri na mshahara kama wa mwanahabari Madowo na wamo 'single'.

Kupitia kwenye ukurasa wa twitter Madowo alijisifu jinsi baada ya kujipikia huku akisema yyuko tayari kuacha kazi ya uhanahabari na kuanza kazi ya upishi.

Baadhi ya wanamitandao walipinga wazo lake na kumwambia kuwa atamwaga unga endapo ataacha kazi huku wengine wakimkejeli.

Huu hapa ujumbe wake Madowo;

"Nimepika kuku na alikuwa nzuri sana, niko tayari kuacha kazi ya habari za uongo na kuanza kuwa mpishi." Aliandika Madowo.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;

AbdulRashid: Utamwaga unga

Morris: Give up and start serving fake chicken.

Hooligan: @LarryMadowo huko majuu kuna wasee wa mutura na chapo pasua? Ama ndo naskia wakiita burrito na matakos

Abra Hams: Disputed because the chicken there is more fake than faker news

elgoon: I might believe the fake news it's women who belong to the kitchen

Joseph Masta: Twitter says your chicken claim is disputed and all luhyias agree with twitter on this

Austin Juma: Not so fast Larry, you need someone to be the judge of that