Kutana na wanawake mashuhuri wakenya ambao wanawakosesha wanaume usingizi kwa ajili ya viuno vyao

Muhtasari
  • Kutana na wanawake hawa wanawakosesha wanaume usingizi kwa ajili ya haya
Kamene Goro
Image: Hisani

Wanawake wengi wamebarikiwa na viuno ambavyo vinawakosesha wanaume wengi usingizi licha ya yao kuolewa na kuwa na wachumba.

Licha ya kuwa na viuno pia huku nyuma wamebarikiwa na kuwafanya wanaume wakose usingizi habisa.

Hii hapa orodha ya wanawake ambao wamebarikiwa na viuno na huku nyuma hawajaachwa;

1.Vera Sidika

Licha ya mwanasosholaiti huyo kuongeza matiti yake, huku nyumba amebarikiwa na kupendeza wanaume wengi huku wakimmezea mate tu kwa maana ana mume.

2.Grace Msalame

Kwenye mitandao ya kijamii huwezi sema kama Grace ni mama wa watoto watatu, kwa maana naye pia hajaachwa nyuma kwa baraka hizo.

43818282_1915871808480092_519740658692268282_n(2)
43818282_1915871808480092_519740658692268282_n(2)

3.Corazon Kwamboka

Mama huyo wa mtoto mmoja kwenye mitandao ya kijamii huwamaliza wanaume wengi na kuwakosesha usingizi.

corazon
corazon

4.Kamene Goro

Mtangazaji huyo wa KISS kwa kweli amebarikiwa na kiuno na sura yenye urembo wa kipekee.

Miongoni mwa wanawake hao ni pamoja, na msanii Avril, mwanasiasa Cate Waruguru, Zari Hassan miongoni mwa wengine.