- Esma tayari ameachana na msizwa baada ya ndoa yao kudumu miezi mitatu
- Inadaiwa gari alilompa Diamond kama zawadi siku ya harusi lilikuwa la kukodi
Staa wa Bongo Diamond Platinumz amefichuliwa kwa tabia za kufeki baadhi ya vitu katikia maisha yake baada ya kuibuka kwamba alikodisha gari la BMW ili kumpa zawadi feki dadake Esama wakati wa harsi yake na Msizwa ambaye hadi sasa ametengana na mume huyo wake
Esma alikuwa akiolewa kama mke wa tatu wa msizwa na kakake alimpa BMW ya rangi nyeupe kama zawadi yake .
Wakati wa hotuba yake harusini Diamond alimchongea sana aliyekuwa mpenzi wa dadake Petitma kwa kumuita kuwa mtu maskini
Petitman naye sasa amepata fursa ya kumtupia Diamond vijembe akisema ;
KIJANA MASKINI WA KWANZA KUVAA SUTI NA KUTABASAMU.
Alionekana kufurahishwa na hatua ya Esma kuachana na mume wake akisema halalamiki kuwa na kidogo alicho nacho kwani anaishi kwa furaha .
Pia alifichua ujanja wa Diamond kuhusu zawadi feki aliompa dadake wakati wa harusi huku shabiki mmoja akisema ;
@MARRYCHARAMBA ….JAMAN MKUJE UKU KWA KAKA PETY KUMENOGA MALIPO NI HAPA HAPA DUNIAN
Petitman aliandika posti hii