Nimeolewa kwa miaka lakini sijafanya ngono bado mimi ni malkia-Mwanamke asimulia haya

Muhtasari
  • Nimekuwa kwa ndoa kwa mwaka mmoja lakini sijafanikiwa kufanya ngono kwa maana ni uchungu
sad woman
sad woman

Endapo umeingia katika ndoa lazima tendo la ndoa liwe usiku wa kwanza katika ndoa yako, lakini si wote ambao wameweza kufurahia hayo.

Ni jambo ambalo wengi hutarajia kufanyika katika ndoa, na hata karne hii ya sasa katika kila uhusiano lazima wapenzi wawili wafanye ngono.

Mwanamke mmoja aliwaacha wengi wakiwa midomo wazi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufichua licha yake kuwa katika ndoa kwa mwaka mmoja bado yeye ni malkia.

Mwanamke uyo alisimulia kwanini yeye ni malkia huku akisema kwamba wakati wanaanza tendo hilo anahisi uchungu mwingi na amejaribu awezalo lakini hajafaulu.

"Nimeolewa kwa mwaka mmoja sasa na sijafanikiwa kufanya ngono na mume wangu, niliolewa nikiwa malkia kila wakati tnajaribu kufanya nahisi uchungu mwingi sana tumejaribu lakini hamna chochote

Nimetumia hadi mafuta ili kujaribu kama naweza lakini nguvu zangu zinaambulia patupu nimefadgaika sana

Sikufahamu kuwa kufanya ngono ni ngumu hivi,watu hufanya tuone ni rahisi,tafahali nitafanya aje?" Aliandika Mwanamke huyo.

Baada ya kuandika ujumbe wake wanamitandao walikuwa na haya ya kumwambia;

kedz_fortune Kudos to the girl satisfying ur husband ✌️

wanja_schoastica 1 year into marriage,I think you should go see a gynaecologist,they will have answers to such issues…pls do it ASAP,your husband may be running out of patience❤️

bidemi_sama It’s probably vaginismus which is treatable(education, counseling, exercises).. see a doctor

helmeted_chief Keep Trying.. Persistence is Key 👍