Mchekeshaji Sammy Kioko akutana na Diamond huku mashabiki wakimsifia

Muhtasari
  • mchekeshaji wa churchill show Sammy Kioko akutana na staa wa bongo Diamond Platnumz
Sammy Kioko
Sammy Kioko

Ni ndoto ya baadhi ya wachekeshaji na wananchi wa nchi tofauti ulimwenguni kupatana na staa wa bongo wa nchi ya Tanzania Diamond Platnumz.

Mchekeshaji wa kipindi cha Churchill Sammie Kioko amepata nafasi na fursa ya kukutana na staa huyo huku akipakia picha zao kwenye ukurasa wake wa instagram.

Alipakia picha hiyo siku moja baada ya kuwaarifu mashabiki wake ya kwamba anaenda nchini Tanzania.

Baada ya mashabiki wake kuona picha hiyo wengi walimpongeza huku mmoja wa mashabiki wake akimuambia ya kwamba anafanya bidii katika kazi yake na kuwa Mungu anamuandaa kwa makubwa.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

itsakukudanger: SIMBA amekutana na FISI😊

tomdaktari: Congratulations😂😂now I will authorize the next post

iam_s.p.a.r.k.s: Mtoto wa muuza kuni kafika tanzania😂😂😂🔥🔥

g.m._12: Kwani mwalimu wako aliluwa wapi na naskia baba yako huuza kuni😂😂😂😂

Kenny: mkamba was kwanza kuona diamond live and direct.

Robert: najua hatutalala Sasa.

Tom Daktari:  who is Kiokos fellow comedian at Churchill show platform and actor also had this to say to his counterpart "congratulations now I will authorise the next post".

Damaris: wow! the moves you are making are commendable God is preparing you to greater heights.

Centy: the next president of comedy.

Murimi: believe and you will be a true testimony big up bro.