'Sina deni la mtu yeyote,' Karen Nyamu asema haya baada ya kujifungua

Muhtasari
  • Karen Nyamu asema haya siku chache baada ya kujifungua

Mwanasiasa Karen Nyamu siku chache zilizopita alijifungua mtoto wa kiume, ujauzito wake uliibua hisia tofauti baada ya kufichuliwa kuwa ni wa msanii wa muguthi Samidoh.

Hata hivyo mwana muziki huyo alijitenga na madai hayo huku akisema kwamba ni rafiki wa karibu wa Karen Nyamu.

Awali akizungumza na gazetti la the Star msanii huyo alisema kwamba alikata na umaliza uhusiano wao wakati watu walianza kudai kuwa wana uhusiano wa kimapenzi.

Kupitia kwenye ukurasa wake instagram siku chache baada ya kujifungua alipakia picha huku akiandika ujumbe na kusema kwamba hana deni la mtu yeyote ya kuwa na tumbo lenye halina nyama'Flat tummy'.

" Watu wangu nina kauli mbiu,inaitwa sina deni la mtu yeyote ya a flat stomach" 😭." Aliandika Karen.

Baada ya ujumbe wake wanamitandao walijaza ukurasa wake na maoni tofauti na ndio haya hapa;

wangui.kamau: Nona tu hatukujudgeπŸ˜‚πŸ˜ΉπŸ˜˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜

elizah_liz: Tutapewa mwili mpwaπŸ˜‚πŸ˜‚

shiruh_baibey: Hako katumbo ni kichwa ngumu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

priscangina: Bora it's not aching my sister flat tummy is you and your pipoπŸ˜‚πŸ˜‚

charles_chaloIf:  your stomach is bigger than your Ass ..you have failed as a woman

anitagrycy: Very soon utatushow big thighs saving lives πŸ˜‚πŸ˜‚

ninnah_wanjiku: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚your not a snake either

carolmunji: Eeh! We are many here...but we will bounce back soo πŸ”₯πŸ”₯