Mwanasosholaiti Corazon Kwamboka afichua sura ya mwanawe kwa mara ya kwanza

Muhtasari
  • Tazama picha za mwanawe mwanasosholaiti Corazon  Kwamboka
  • Taiyari Kiarie alizaliwa mnamo Agosti mwaka huu
Frankie-1-1
Frankie-1-1

Mwanasosholaiti Corazon Kwamboka na mpenzi wake Frankie Kiarie kwa mara ya kwanza tangu Corazon kubarikiwa na kifungua mimba wake wamefichua sura ya mtoto wao baada ya miezi nne.

Taiyari Kiarie alizaliwa mnamo Agosti mwaka huu.

Wikendi iliyopita kupitia kurasa za instagram za wawili hao walipakia picha cha mtot0 wao huku mashabiki wengi wakimsiu kwa sura yake nzuri.

 

Baada ya kupakia picha ya mwanawe Frankie aliandika ujumbe huu;

"Ninaweza kusema nini, ninawafanya wanaume WAUME! πŸ€·πŸ½β€β™‚οΈ." Aliandika Frankie.

Pia kupitia kwenye ukurasa wake wa mwanasosholaiti huyo aliandika haya;

"Zawadi yenye dhamani zaidi."

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;

malkia_001: He is so cute, MashaAllah 😍😍

kellywanjikuterry: Cute baby❀️❀️❀️❀️

 

jane.mumbi.750546: He is so adorable

miss_barizy: Cute litu boy😍

its_june254: Cuteness reloaded

mrsormich: Aaawww so cute...he looks like his mama.πŸ’™πŸ’™

ogakej: This baby is beautiful congratulations Frankie and corazon

justberylfaith: Baby fever 😍he's so adorable πŸ”₯😘😘😘😘

effiebaltazar: 😍😍😍😍😍oh dear Lord..absolutely adobs...my ovaries did not need to see this today πŸ”₯πŸ”₯😍

kiboikuria :πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘Ako na Hulk Hogan arms already!!! Good stuff!