Anachukua anaweka waah!Mashabiki watoa hisia tofauti baada ya Eric kumwanika Ringtone

Muhtasari
  • Wanamitandao watoa hisia tofauti baada ya Eric Omondi kumwanika Ringtone Apoko
  • Mchekeshaji huyo alimwanika msanii huyo kupitia kwenye ukrasa wake wa instagram
eric-omondi
eric-omondi

Mfalme wa wachekeshaji Eric Omondi kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alimwanika msanii wanyimbo za injili Ringtone Apoko baada ya kummenyelea mmoja wa wake zake.

Mwikali alialikwa na msanii huyo nyumbani kwake huku akimfahamisha Eric kuhusu hayo, baada ya hapo Apoko aliposti ujumbe wa M-pesa aliomtumia Mwikali pesa.

Baada ya mashabiki kuona ujumbe wake Eric akimuonya Apoko awachane na wasichana wake walikuwa na haya ya kusema;

 

mitchylilly: Washaa anza kureduce🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 take shakila she's best for you

bukhala_liliy: You have given many her number am giving my bro this number ataka bibi pia😂😂😂

mulamwah: Mandugu ni kusaidiana 😂

eddiebutita: Mwinjilisti Ringtone anafanya maneno magani haya😂😂😂😂

fredomondi_: Asante kwa kutupea sisi wakenya number ya wife hadharani😂😂😂🙌

mercy_ramsey_: Apoko ni poko anakula hadi wafuasi😂😂😂

____n.j.i.r.u_b.a.n.d.i.t____: Huyu ako na njaa gani hio 😂😂😂😂😂ata haezi ngoja erico apate bibi na yesu azaliwe😂😂😂😂

 

nasra_cutie: Kqma bado haujaona video ya mama mchungaji iliyovuja 🍆🍆🍆🍆 njoo dm😂😂😂😂