Vituo vya youtube ambavyo vilinoga sana mwaka wa 2020

Muhtasari
  • Vituo vya youtube ambavyo vilinoga sana mwaka wa 2020
betty 1
betty 1

Baada ya corona kuripotiwa nchini na mambo mengi kupigwa marufuku na hata wengine kuachishwa kazi baadhi ya wanahabari, wacheshi waliamua kuanza kufanya kazi kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

Baada ya kuanzisha vituo vyao vya youtube vilipendwa sana na mashabiki.

Wengi wamekuwa wakifanya mahijiano kupitia vituo hivyo na kufahami zaidi kuhusu wasanii, wachekeshaji wengine na jinsi walianza kazi yao.

Hivi hapa baadhi ya vituo vya youtube ambavyo vimenoga sana mwaka wa 2020.

1.Betty Kyallo

INSTAGRAM: https://www.instagram.com/bettymuteikyallo/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/OfficialBettyMuteiKyallo/ Managed by: Kamarichi M. - https://www.instagram.com/kamarichi/

Mwanahabari huyo aliyekuwa katika runinga ya K24, baada ya kuacha kazi alianza biashara huku akifungua kituo cha youtube, kwa sasa kituo chake Betty kina watazamaji elfu 138.

2.Bonga na Jalas

Mtangazaji huyo wa redio ya KISS baada ya kutoka katika kampuni ya Media max alifungua kituo chake cha youtube ambapo kufikia sasa anawatazamaji elfu 282.

#BongaNaJalas #BongaNaJalas https://jalangotv.com/ #JalangoXtra

3.Jessy Junction

Mchekeshaji huyo alitoka hatua moja hadi nyingine na kufungua kituo cha youtube ambapo amekuwa akiwahoji baadhi ya wakenya na kupeana hadithi zao.

#The_No1_Vibrant_Online_TV_Show_In_Kenya #JessyJunction Maureen Waititu talks to Mc Jessy about her past and what she went through. Thanks for watching! 🙌🏾Subscribe https://bit.ly/JessyJunction & turn on notifications to find out when I upload new videos! FOLLOW ME ON SOCIAL: Facebook: https://www.facebook.com/Jessythemc Insta: https://www.instagram.com/jessythemc Twitter: https://twitter.com/JessyTheMC

4.Abel Mutua

Mutua alifahamika sana kwa uigizaji wake katika kipindi cha Tahidi high, huku akiigiza katika kipindi cha 'Anda Kava'kinachopeperushwa katika runinga ya Maisha Magic.

Mutua ana kituo chake cha youtube ambacho ana watazamaji 164,000.

5.Njugush

Kusema ukweli Njugush amekuwa katika mstari wa mbele kuweka tabasamu nyusoni mwa mashabiki wake wakati huu wa janga la corona.

Njugush anawatazamaji 440,000 wa youtube.

Miongoni mwa vituo vingine vya youtube ambavyo nimenoga mwaka huu ni pamoja na thewajesus, mwanablogu Edgar Obare na vingine vingi.