Lala salama!mchekeshaji Njoro ampoteza baba yake

Muhtasari
  • Mchekeshaji Njoro ampoteza baba yake baada ya kuugua saratani kwa muda
Screenshot-from-2020-07-21-00_08_53
Screenshot-from-2020-07-21-00_08_53

Mchekeshaji wa kipindi cha Churchill Njoro yuko katika maombolezi baada ya kumpotea baba yake mzazi.

Baba Njoro alikuwa anauua saratani kwa muda ambayo ilisababisha kifo chake.

Kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii aliwaharifu mashabiki wake kuhusu kifo chakee baba yake kupitia kwa ujumbe huu.

"Nimevunjika, nimevunjika kabisa, ata nitaanzia wapi ama nitafanya nini, baba kwa nini saa hizi?

lala salama baba.R.I.P baba Njoro mpaka tutakapokutana tena, lala salama nilikupeenda na nitaendelea kukupenda uangaze njiani baba 😭😭😭😭😭." Aliandika Njoro.

Hizi hapa baadhi za jumbe za risala za rambirambi kutoka kwa marafiki na mashabiki;

deejaykalonje: Pole brother take heart

babydanzy: My condolences to the family and friends,ni njia yetu sote mwenyezi mungu awape nguvu na subra insha Allah πŸ™πŸ™πŸ˜’πŸ˜’

thecremedelacreme :Peace be unto you and yours my brother πŸ™

awititrhk: My condolences to you and your family dear..my prayers and thoughts are with you

phil_director: Pole sana broπŸ™ Time will numb the pain you are feeling right now

tinakaggia: Oh no. Oh no😭😭😭. I’m so sorry my love. OMG. My deepest condolences sweetheart. May God give you strength. I’m praying for you and the family

joabmwaura: TAKE HEART BRo

mwalimchurchill: So so sad..poleni sana..I have been there and I know what you are going through..my deepest condolences

massawejapanni; It is well Njoro. Condolences

terencecreative: Pole saana bro, it is well πŸ™πŸ™

chris001ke: Pole Sana Bro, God will give you and family strength

teacherwanjiku; Pole sana @njorothecomedian