Drama!Mwanamke apatikana akifanya mapenzi na mume wa rafikiye kwa gari

Muhtasari
  • Mwanamke apatikana akifanya mapenzi na mume wa rafikiye kwa gari

Drama ilishuhudiwa kaunti ya Machakos baada ya mwanamke mmoja kupatikana kwenye gari huku akiwa anafanya ngono na mume wa rafiki yake.

Wakiwa kwenye gari la mwanamume huy mkewe aliwasili kama umeme ambapo aliwafumania na kuanza vita na mwanamke huyo.

Huku Bibi ya mwanamume huyo akizungumza kuhusu kisa hicho kwa hasira alikuwa na haya ya kusema;

 

"Nilijua huyu mwanake kwa muda wa miaka 5, wamekuwa karibu sana na mume wangu kumbe si kufahamu ya kwamba kuna kitu kilikuwa kinaendelea

Amekuwa akija kwangu tunafanya mambo mengi pamoja lakini sikujua kwamba anaweza nichukuliwa mume wangu

Siju ni nini alichokiona kwa huyu mwanamke, na ameolewa na ana watoto wawili

Rafiki zangu wamekuwa wakiniambia kuwahusu lakini napuuzilia mbali kwa maana na muamini mume wangu kumbe ni ukweli wamekuwa wakionana." Mwanamke huyo alisema.

Kwa ajili ya aibu wawili hao waliopatikana kwenye kitendo hiccho hawakuwa na la kusema huku mumewe Elizabeth akitoka eneo hilo na gari lke na kuwaacha wawili hao wakipigana.

Kwingineko, mwanamke mmoja amewaosesha usingizi wanaume kwenye mitandao ya facebook baada ya kukiri kwamba anataka mwanamume amuoe.

Kupitia kwennye ukurasa wake mwanamke huyo ni daktari huku akisema kwamba wanaume engi wamekuwa wakiogopa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi naye kwa maana ni mrembo sana.