So carol si bibi yako,'Mashabiki wamuuliza Eric Omondi baada ya kufichua haya

Muhtasari
  • Eric Omondi asema kipindi cha Wife Material kilikuwa cha burudani tu
eric omondi
eric omondi

Mashabiki wamebaki na maswali chungu nzima, baada ya mchekeshaji Eric Omondi kufichua kwamba hakuwa anatafuta bibi bali kipindi hicho kilikuwa kimeandikwa kwa burudani.

Mchekeshaji huyo amekuwa katika mstari wa mbele mitandaoni, baada ya kufichua kwamba anatafuta bibi.

Eric amehakikisha tasnia ya uchekeshaji imetambuliwa kama tasnia ya muziki nchini.

 
 

Dakika chahe zilizopita Eric amefichua kwamba kipindi cga 'Wife material' kilikuwa kimeandikwa.

Baada ya Carol kuchaguliwa kuwa mkewe Eric Omondi mwanasosholaiti Shakila alidai kwamba anamimba ya mchekeshaji huyo.

Ni jambo ambalo lilionekana ni la kweli baada ya mchekeshaji huyo kumuoa Carol na kisha kuenda fungate.

"Kipindi cha Wife material kilikuwa kimeandikwa kwa burudani tu.' Eric Alifichua.

Hizi hapa baadhi ya hisia na maswali ya mashabiki baada ya ufichuzi wake Omondi;

carolinacarlz: I wonder what you'll come up with next, to keep us busyπŸ€—

eddiebutita: Curtains Close πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ» what a show

 

fridah_kairanya: Stop kissing gals for comedy is not fair that using them πŸ˜‚

wambui_wa_naivasha: Can i faint here?πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ please it's urgent..🀣🀣🀣🀣

bandanafather: All about shakilaπŸ˜‚πŸ˜‚