Nadhani kuwa shoga ni mojawapo ya baraka kubwa za maisha yangu.' Mwanahabari wa CNN adai

Muhtasari
  • Mwanahabari wa CNN asema kwamba kuwa shoga kwake ni baraka

Mwanahabari wa runinga ya CNN Anderson Hays Cooper akiwa kwenye mahojiano alifichua jinsi alivyo gundua kwamba yeye ni shoga.

Akiwa kwenye mahojiano hayo cooper alisema kwamba kuwa shoga ni moja wapo ya baraka kubwa za maisa yake.

Bali na kuwa shoga  ni baba wa mtoto mmoja ambaye alizaliwa mapema Mei 2020.

 

Mwanahabari huyo alisema kwamba aligundua kwamba yeye ni shoga mwaka wa 2012, baada ya kufichua hayo wanamitandao hawakulaza damu bali walijaza sekta ya maoni na hisia zao.

Baadhi ya wanamitandao walimsifia kwa kusema kweli huku wengine wakimkejeli kwa usemi wake.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;

DJ: Sing it @andersoncooper! I was about 5 when I thought my neighbor friend was flattering. 12 years later I came out because it all made sense. Nail polish

Miranda Cosgrove’s Gay Intern: why am i seeing this again and why would he ever say this

Rondi Nelli: GIVE us a Damn BREAK Wow. Aren't you SPECIAL..WHO CARES. JUST live LIFE .

Ni ngumu sana watu wakigundua kuwa ni shoga au wasagaji kuthibitisha hayo au kujitokeza na kusema kwamba wamejipata kwenye sekta hiyo.