Utakuwa siku zote moyoni mwangu,' Msanii Suzanna Owiyo aomboleza kifo cha baba yake

Muhtasari
  • Msanii Suzanna Owiyo anaomboleza kifo cha baba yake
  • Alitangaza habari hizo kupitia ukurasa wake wa facebook

Msanii Suzanna Owiyo yuko kwenye maombolezi baada ya kumpoteza baba yake mzazi, alitangaza habri hizi kupitia kwenye ukursa wake wa facebook.

Huku akitangaza kifo cha baba yake alimkumbuka baba yake kama mshauri wake na wa watu wengi.

"Ni vingumu sana kusema kwaheri najua uko mahali pema na bora,mahali ambapo hamna maumivu uko na imani sasa

 

utakuwa siku zote moyoni mwangu,Asante kwa kuwa baba bora na mshauri kwa wengi..lala mahali pema baba mpaka pale tutapatana." Aliandika Suzanna.

Marafiki wanamitandao na hata mashabiki walituma risala za rambi rambi na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

Millie Mabona: Poleni sana for your loss. May you find peace during these trying moments.

Olak PhilA patriarch:  has bowed. To Suzanna Owiyo and your entire family, receive my heartfelt condolences.

Washington Washii: My sincere condolences...in deed a great tree has fallen.. dad is resting easy ..

Eunice Achieng Radiro; Pole sana for the loss of baba. May our God gives you peace during this trying times

Emma Achieng;My condolences to you and your family. May God comfort you during this trying time. My his soul rest in perfect peace 💐