- Joey Muthengi asema amempeza Willis Raburu huku mashabiki wakitoa hisia tofauti
- Baadhi ya mashabiki waliwashauri wawili hao waoane
Mwanahabri Joey Muthengi na mtangazaji Willis Raburu ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao wanapendwa sana na mashabiki.
Wawili hao walikuwa wakifanya kazi pamoja kwenye runinga ya Citizen kabla ya Joey kutoka kwenye runinga hiyo.
Licha ya wawili hao kuwa wafanyakazi wa kampuni moja kwa muda mrefu wamekuwa marafiki wa karibu sana.
Kupitia kwenye ukurasa wake Joey wa instagram alipakia picha yake na Willis huku akisema kwamba amempeza rafiki yake.
"Niliamka leo nikifikiria rafiki wangu mzuri @Willisraburu. vile nimempeza." Aliandika Muthengi.
Baadhi ya mashabiki walitoa hisia na kusema kwamba wawili hao wanakaa vyema pamoja na kwamba wanapaswa kuwa wapenzi na kisha wafunge pingu za maisha.
amamophil: We demand a wife material show for the two of you, just my thoughts. π
dougherty_imbisi: C you guys just become a couple once and for all?ππ shida iko wapi?
samie_snr1: This guy is lucky to have such a friend sio rahisi
_malagho: π₯π₯Match made in heaven πwill attend the vows πππlove wins
ms_makarias: Mpendane tu single mingle
janenamuju: U make a lovley couple
franq_: mamboNyinyi oaneni tu. Lol
ndungu_tosh: @joey_muthengi siunifikilie pia ata kama hunijui,issa trend of loveπ