Watambue!Wanandoa mashuhuri ambao wanafanya kazi pamoja

Muhtasari
  • Orodha ya Wanandoa mashuhuri ambao wanafanya kazi pamoja
  • Si wote ambao wanakubali kufanya kazi na wapenzi wao au waume na wake wao
Pamoja:Size 8 na DJ Mo

Safari ya ndoa wakati huu wa sasa na karne hii ya sasa si rahisi, lakini kuna baadhi ya watu mashuhuri wanahabari,wasanii na wengine wengi ambao wamethibitisha licha ya ndoa kuwa na panda shuka zake ni jambo nzuri.

Si rahisi kumpata mwanamume au mwanamke anakubali kufanya kazi pamoja na mpenzi wake.

Kuna badhi ya watu mashuhuri ambao wamethibitisha licha ya kuwa wapenzi si vibaya kufanya kazi na mume wako au mke wako.

 

Haya basi hii hapa orodha ya watu mashuhuri ambao wanafanya kazi pamoja.

1.Lulu Hassan na Rashid Abdalla

Ni miongoni mwa wanandoa ambao ni wa kupigiwa mfano na watu wengi nchini.

Wanahabari hao huwa wanafanya kazi ya uhanahabari katika runinga ya Citizen.

lulu 3
lulu 3

2.DJ Mo na Size 8

Wawili hao walikuwa na kipindi cha 'Dine with the Murayas' ambacho wamekuwa wakifanya kazi pamoja kwa muda sasa.

size 8
size 8

Licha yaa DJ Mo kuwa mcheza santuri na Size 8 kuwa msanii wa nyimbo za injili wamekuwa wakithibitisha kuwa kufanya kazi na mpezni wako si jambo mbaya.

 

3.Bahati na Diana Marua

Bali na haw wanandoa kutafuta kiki katika ktandao ya kijamii wamekuwa wakifanya kazi pamoja hasa kwenye mitandao yao ya youtube.

bhatianddianamarua
bhatianddianamarua

4.Avril

Mapema mwaka jana uvumi ulienea kamba producer wake msanii Avril ni mpenzi wake.

Je unaweza fanya kazi na mpenzi wako au mume wako au mke wako?

avril
avril