- Tanasha na Diamond walikutana Tanzania baada ya Donna kumpeleka mtoto kumuona baba yake .
- Novemba mwaka jana ilikuwa zamu ya Zari na Diamond kukutana wakati alipowaleta watoto kumuona baba yao na akaeleza wazi kwamba hakuwa na mpango wa kumrudia Diamond bali walikuwa wkaitekeleza jukumu lao la kuwalea wanao kwa pamoja .
Ni wazi kwamba msanii wa Tanzania Diamond ana uwezo wa kipekee wa kutuliza hali yenye taharuki kuwa tulivu na hata kuitumia vizuri kuendelea na maisha yake . Baada ya kufaulu kumuona mwanawe Naseeb Junior waliyezaa na Tanasha Donna , wafuasi wao wengi walikuwa wakipiga miluzi wakijua sasa imefika hatua nzuri katika maisha ya nyota huyo wa muziki kurudiana na mmoja wa wapenzi wake .
Tanasha na Diamond walikutana Tanzania baada ya Donna kumpeleka mtoto kumuona baba yake . shabiki mmoja kwa udaku wake aliamua kumtoa uchungu Zari kwamba kumueleza kwamba Daiamond na Tanasha walikuwa wakirudiana
Boss lady wetu ,Diamond amerudiana na msichana wetu wa kikenya
Zari hakusita kujibu na aliandika
‘ Navyofahamu mimi ,niliachana naye miaka mitatu iliyopita
Shabiki mwingine alimuonya dhidi ya kufanya mazoea na Juma Lokole ambaye ni mshirika wa karibu wa Diamond kwa sababu ni mnafiki .
‘JUMA ANAKUCHOKOZA MAMA TEE NEXT TIME UKIJA USIWE NA UKARIBU NAE,’
Zari alijibu ushauri huo kwa kusema
‘ Achana na huyo kijakazi ….NJAA MBAYA,’ SHE
ASIPO LAMBA TRAKOO LA BOSS ATAKULA WAPI? NJAA MBAYA.
Novemba mwaka jana ilikuwa zamu ya Zari na Diamond kukutana wakati alipowaleta watoto kumuona baba yao na akaeleza wazi kwamba hakuwa na mpango wa kumrudia Diamond bali walikuwa wkaitekeleza jukumu lao la kuwalea wanao kwa pamoja .