- Ziara hiyo ilijiri miezi michache tu baada ya Zari Hassan pia kufanya ziara kwenda Tanzania kuwapeleka watoto wake Tiffah Na Nillan kumuona baba yao baada ya waiwli hao kutengana
- Akilizungumzia hilo Diamond amesema wamekuwa wakipanga sana kukutana na Hamisa ili aweze kumuona mtoto wake Dylan .
Nyota wa muziki wa Bongo Diamond Pltinumz amekuwa akitrend wiki nizma baada ya msanii Tanasha Donna kupiga safari kwenda Tanzania kumpeleka mtoto wake Naseeb Junior amuone babake.
Ziara hiyo ilijiri miezi michache tu baada ya Zari Hassan pia kufanya ziara kwenda Tanzania kuwapeleka watoto wake Tiffah Na Nillan kumuona baba yao baada ya waiwli hao kutengana .
Mashabiki walisalia na maswal;I mengi kuhusu mbona Hamosa Mobetto hajafanya ziara naye kumpeleka mtoto wake Dylan kumuon Diamond kwa sababu imekuwa wazi kwamba kuna mtindo hapa kuhusu Diamond na wapenzi wake wa zamani .
Akilizungumzia hilo Diamond amesema wamekuwa wakipanga sana kukutana na Hamisa ili aweze kumuona mtoto wake Dylan .
‘ Mimi hukutana na mwanangu mara nyingi sana ni kwa sababu huwa hatuposti picha hizo katika mitandao ya kijamii . Kwa kweli Dylan laifaa kuzuru familia yangu kwa wiki moja kabla ya Tanasha kumleta mtoto wake' .
Aliongeza kusema
'Nawapenda wanangu wote na nina heshima kwa mama zao wote .wao hupitia mengi hasa katika mitandao ya kijamii laini nawaheshimu kwa njia sawa'