- Akothee amuonya mwanawe Rue Baby baada ya madai alikamatwa siku ya kushehereka siku yake ya kuzaliwa
Kila tunapopatwa na shida wengi huwapigia wazazi wao simu na kuja kuwatoa kwenye shida ambayo imewakumba.
Lakini kwa mwanawe msanii Akothee hakuweza kufanya hayo, huku akisheherekea siku yake ya kuzaliwa, madai yalienea kwamba Rue Baby amekamatwa.
Akothee hakuyafahamu hayo bali aliona kwenye blogu kwamba mwanawe alikuwa amekamatwa.
Wakati mwingine huwa tunajipata upande mbaya na sheria huku hatua zikichukuliwa.
Akothee kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alimwambia Rue kwamba sheria za kafyu hazijui kama mtu ni tajiri wala mtoto wa tajiri.
Pia alitaka kujua nani alimtoa korokoroni baada ya kushikwa kwa maana hakuwa anayafahamu hayo.
"πππ jambazi umelala ndani @ rue.baby na sijui ππ nani kakulipia dhamana? Je walimkamata mwanamume wako ama yeye ni toto yajuu ya kafyu, amri ya kutotoka nje hapana mtoto Bosi Mama watakuweka ndani cheza. CHINI ππππππππππ," Aliandika Akothee.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki baada ya usemi wake Akothee;
mcatricky: π€£π€£π€£π€£π€£Wueh @akotheekenya relaaax ! Hawa mablogger ni kama pia wao walikua ndani hio sikuπππ
rue.baby: Bitch calm your ass down. Am safe oo.ππcheka tu
chebet_.moh: Alafu ati eldest daughter?? Hawa watu wanaandika hawafanyi research yakutoshaππ but rue pole
princess_wa_daddy007: Alikublock alitupea story pale kwa ig storiesππππ..
marycute_maina:Wooiye wanashika ka african beauty ka madam boss kwanini?iyo melanin haifai kuguzishwa simit yawaβ€οΈβ€οΈβ€οΈ