'Tafuta OJ mfanye kitu pamoja,'Omosh aambiwa na mashabiki baada ya kupakia picha hii

Muhtasari
  • Soma alichoambiwa na mashabiki baada ya kupakia picha yae na muigizaji mwenzake OJ
  • Asilimia kubwa ya mashabiki walimshauri Omosh amtafute OJ na wafanye kazi pamoja, kama vile walivyokuwa wanaigiza kwenye kipindi cha Tahidi High

Kwa muda sasa aliyekuwa muigizaji wa Tahidi High Josep Kinutia almaarufu Omosh amekuwa akivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya uichua mauu ambayo aamekuwa akipitia wakati wa janga la corona.

Baadhi ya watu mashuhuri,waigizaji wenzake, na hata wasamaria wema walijitokeza na kumsaidia muigizaji huyo kwa njia tofauti.

Alhamisi Omosh alipakia picha akiwa na muigizaji mwenzake Dennis Mugo almaarufu OJ huku mashabiki wakitoa hisia tofauti kwa ajili ya picha hiyo.

Asilimia kubwa ya mashabiki walimshauri Omosh amtafute OJ na wafanye kazi pamoja, kama vile walivyokuwa wanaigiza kwenye kipindi cha Tahidi High.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

chrisdizainanews: You need to do something with That person Walae.. wi miss your clue gusy

adanfabian11How many years down the line? πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

cirulaide: Omosh tafuta OJ mfanye kitu pamoja

kibunjaofficial: Tumetoka mbaliiiiπŸ˜‚

gitarishiro: I miss aki si poa 😒 OJ amelost sana

 

esyd_: You made my days

dedan_juma_: Moto kama pasi, nyakati zile sasa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ salamu kwa wakubwa