Lala Salama!Mtangazaji Ghost Mulee aomboleza

Muhtasari
  • Ghost Mulee aomboleza kifo cha dada yake, alitangaza habari hizo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram
Ghost Mulee

Mtangazaji wa Radiojambo anaomboleza kifo cha dada yake, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Ghost alipakia picha ya mwanamke huku ikiambatana na ujumbe.

"Lala salama dada yangu Teresia Kalondu Munyui," Aliandika Ghost.

Mtangazaji huyo hakusema sababu ya kifo cha dada yake.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za marafiki zake za kumfariji.

 

lizsiele: Rest well mama

eliascharles35: Mungu wape faraja

allanhonest: Poleni sana.

joseph_n_michael: Sorry for the loss

brayo_arwa: Ghost pole sana. Mola amlaze vyema

_n.e.s.h._: Pole Sana coaches ....

dynastodanfas: Let her rest in peace take heart bro

 

chemu_ikurgat: Poleni sana coaches, my condolences to you and your family

Kutoka kwetu wanajambo Mugu ailaze roho yake mahali pema peponi.