- Msanii Rayvanny amuomba mpenziye Harmonize msamaha, hii ni baada ya kupakia video akimpa busu mwanawe kajala
- Hamisa alihusishwa katika drama hiyo huku mwishowe akikana madai yake kajala
msaniiwa bongo Rayvanny siku ya Ijumaa, alimuomba mpenzi wake Harmonize msamaha baada ya kupakia video akimpa busu mwanawe Fridah Kajala, Paula.
Ilidaiwa kwamba Paula alikuwa mwanafunzi na hakupaswa kufanya kitendo hicho naye.
Pia mwanasosholaiti Hamisa Mobetto alihusika katika kesi hiyo, kwa kudaiwa alimfunza mwanawe Kajala, huku Kajala akisema kwamba ndiye alimtambulisha mwanawe kwa Rayvanny.
Hamisa alikana madai hayo,huku akisema iinawezekana wawili hao walipatana siku nyingine na wala sio siku ambayo walienda kula chakula cha mchana kama alivyo dai Kajala.
Kupitia kwenye ukurasa wake Rayvanny wa instagram alikuwa na haya ya kusema kuhusu jambo hilo.
"Duniani wakati mwingine kuna vitu tunavifanya ambavyo pengine kwa macho yetu ya ujana tunaona ni sahihi lakini tunasahau upande mwingine wa pili ambao ni wazazi wanaoumia kwa namna moja au nyingine .
Nichukue nafasi hii kumuomba radhi dada angu @kajalafrida na kuwaomba radhi wazazi na yoyote ambaye nilimkwaza kwa kupost video ambayo inawezekana imetafsiriwa vibaya ...kwasababu sisi ni binadamu na kamwe hatuwezi kukamilika,'" Aliandika Rayvanny.
Soma hisia za mashabiki baada ya ujumbe wake Rayvanny;
vee_gallagher: πππππ muachane na panya family
king_cicero : Amkeni jamani mjoni tucomment araka huku kabla ya wale wa nguvu za kiume awajacomment π€£π€£π€£π²πΏβ€οΈπΉπΏπ₯π₯
ankoo_zumo_: ππKUOMBA MSAMAHA NI KITU BORA ZAID
brianlorenzotz: Forget and forgive π
jamestzboy: VannY ππππ Dadaako au Mamaako mkwe?? Tuambie vizuri bhaana
_whatsgood1: Umekua tukupe jiko sasaππ
oka_marttin: Akili kubwa sana Tumekusamehe ππ
sheklez: Mtag na harmonize ambaye ni Baba wa mtoto uliye post Video ukiwa Nae π
mikumbitushafii: Good piga kazi kaka ashakusamehe uyo
official_mtani: Makofi kwake tafadahatiππΎπ€£π€£