Kuwa mpole kama wataka kubarikiwa,'Ujumbe wake Omosh kwa mashabiki

Muhtasari
  • Muigizaji Omosh awashauri mashabiki wawe wapole kama wataka baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu

Muigizaji Joseph Kinuthia, almaarufu Omosh amewasha mitandao ya kijamii tena baada ya kuwashauri mashabiki wake wawe wapole kama wanataka kubarikiwa na Mungu.

Omosh amekuwa akivuma sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufichua yale amekuwa akipitia.

Kuwa Mpole Kama Wataka Kubarikiwa na, huu ujumbe ni wangu na wako," Aliandika Omosh.

Ni ujumbe ambao mashabiki wengi wamechukua ushauri wake na wengine pia wakamkejeli.

Hizi hapa hisia za mashabiki;

ndovu_fathy: Bless up more and more

mrjoekenya: Asante. Sana bazuu. Blessings

ownesnzeki: Truly kua mpole na utainuliwa👏 blessed Sunday all

leilaciku: KWELI Amina

be.ast3737: Amen Amen .....so encouraging

rozzy.shii: I love the song, @omoshkizangila it's a big testimony to you and others and at the same time, it's a big inspiration to others. Much blessings.🙏 Patience pays