- Lulu Hassan ashinda tuzo la kuwa mzalishaji bora, katika tasnia ya uigizaji
- Mashabiki wake walimpongeza mwanahabari huyo
Gala ya Toleo la pili la Tuzo za Wanawake Katika Filamu (WiFA) ilishuka Jumatano katika ukumbi wa michezo wa kitaifa wa Kenya.
Mwanahabari wa runinga ya Citizen Lulu Hassan alitwaa Tuzo ya Mzalishaji Bora (TV Dram-Maria), kupitia kampuni yake ya utengenezaji iitwayo Jiffy Pictures, ambapo pia ni Mkurugenzi Mtendaji.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mwanahabari huyo alitangaza habari hizo njema huku mashabiki wake wakimpongeza kwa bidii ya kazi yake.
"Naamka na kupatana na habari njema,asante Mungu na nawashukuru nyinyi nyote,nitashukuru milele," Aliandika Lulu.
Hizi hapa jumbe za wanamitandao wakimpongeza;
hassansarah: ππaayyyyy!!!CongratulationsππΎππΎ you absolutely deserve itππΎππΎ
kate_actress: CONGRATULATIONS ππ
yasmeen_saiedi: Congratulations madam Boss β€οΈ
wanjikustephens: Congratulations are in order
captainotoyo: Hongera sana wakwehu.ππππππ₯π₯°π₯π₯π₯
pure_mwiks: Congratulations maπ
a1collectionske: ππππ Congratulations
patakenya: You deserve it so much ππ
tarbiewish: Congratulations π β€οΈmy all time role role model. May God keep on increasing your boarders β€οΈ