Kuna tofauti ya mwanaume ako na pesa na mwanaume anakupea pesa-Amber Ray

Muhtasari
  • Mwanasoshalaiti Faith Makau almaarufu Amber Ray kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amewashauri mashabiki wake kuhusu wanaume na pesa
Amber Ray
Image: Hisani

Mwanasoshalaiti Faith Makau almaarufu Amber Ray kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amewashauri mashabiki wake kuhusu wanaume na pesa.

Kulingana na mwanasosholaiti huyo kuna tofauti kati ya mwanamume ambaye ako na pesa na ambaye anampa mwanamke pesa.

Usemi wake unajiri wakati wanawake wengi wanakejeliwa na jinsia yakiume kwamba wanapesa esa kuliko kutafuta mapenzi ya kweli.

Mama huyo wa mtoto mmoja kupitia kwenye ukurasa wake wa inastagram pia alithibitisha kwamba ameolewa na Jamal kama mke wa pili.

"Sijui nani anahitaji kusiki haya lakini kuna tofauti ya mwanamume ako na pesa na mwanamume anakupea pesa," Aliandika Amber Ray.

Baadhi ya mashabiki wake walimuunga mkono huku wakitoa hisia tofauti na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

willymuruu: Na ni ndoto ya kila mwanamke mvivu kuolewa na mwanaume mwenye kujua kutafuta pesa

bossbabes_254: Wajue kutofautisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ looking good Boss πŸ™Œ

oluochdaisy: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unakuanga na mbaya mbaya.... πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

ch.epto.o: Ongeza voluneπŸ”₯πŸ”₯

ryne_1njiku: Aki @iam_amberay acha kushout ukweliπŸ˜’πŸ˜‚πŸ˜‚

sia_wakanice: Nataka wakunipea pesa

xtinenjin: πŸ”₯πŸ”₯❀️❀️πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ heeeheee kambas we need wakutupea bhana AlaaaaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜‚

molynjux: Walai umeongea leo kama wamama kumiπŸ˜πŸ™ŒπŸ™Œ

beatricekimingi: Yes very big difference

she_is_kush_undisputed: More Volume for the back benchers plzπŸ’―