Jifunze kuwa sawa na watu -Ushauri wake Marya Prude kwa mashabiki

Muhtasari
  • Marya Prude licha ya yale alipitia, amekuwa akiwapa mashabiki wake ushauri jinsi ya kuishi maisha yenye furaha
  • Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Marya hamna siku moja ambayo ilipita bila ya kuwashauri mashabiki wake

Aliyekuwa kuwa mkewe mtangazaji Willis Raburu, Marya Prude alifahamika sana baada ya wawili hao kuachana.

Marya Prude licha ya yale alipitia, amekuwa akiwapa mashabiki wake ushauri jinsi ya kuishi maisha yenye furaha.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Marya hamna siku moja ambayo ilipita bila ya kuwashauri mashabiki wake.

 

Kupitia kwenye ukurasa huo Marya aliwashauri mashabiki wake wajinfune kuwa sawa na watu bila yao kujua upande au maoni kuhusu hadithi yako.

Pia alisema kwamba sio lazima mtu athibitishe jambo fulani kwa mtu yeyote.

"Jifunze kuwa sawa na watu,bila kujua upande wa hadithi yako,sio lazima uthibitishe chochote kwa mtu yeyote," Aliandika Marya.

Haya hapa maoni ya mashabiki wake kuhusu ujumbe wake Marya Prude.

chelelcherrie5: That's the truest thing I have heard today...people will always believe whatever they want to believe...ciao

cesskk: You can say that again gal.😍❤️❤️❤️

Karne hii ya sasa kola kijana anaenda kwa kiwango chake ili kuthibitisha hadithi yake ni ya ukweli au sio ya ukweli, huku wengi wakipatwa na msongo wa mawazo.

 

Utapata wengi wanataka umaarufu na utajiri wa haraka bila yao kutia bidii katika maisha yao.