'Ndoa ni muungano mzuri ulioundwa na Mungu,'Size 8 awashauri mashabiki

Muhtasari
  • Msanii Size 8 awashauri mashabiki jinsi ya kudumisha ndoa
81209022_203827197486108_8695743287443603106_n
81209022_203827197486108_8695743287443603106_n

Msanii wa nyimbo za injili Size 8 ni mkewe mcheza santuri DJ Mo, ambao wamepitia changamoto tofauti katika ndoa yao.

Huku akiwshauri mashabiki wake jinsi ya kudumisha ndoa alisema kwamba ni muungano ambao ulindwa na Mungu.

Pia alifichua kwamba Munu amekuwa akimpa siri ya kukaa katika ndoa.

 

"Ndoa ni muungano mzuri ulioundwa na Mungu na Mungu amekuwa akinifundisha mengi juu ya ndoa na kunipa siri juu ya jinsi ya kuwa na ndoa nzuri yenye tija hata katikati ya kizazi hiki cha dhambi !!

Jiunge nami  moja kwa moja kwenye Facebook Ijumaa saa nane mchana wakati ninashiriki kile roho mtakatifu wa Mungu amenifundisha juu ya ndoa na jinsi ya kushinda kila dhoruba na pia kufurahiya na kufanikiwa katika ndoa .......

. nakupenda ❀πŸ₯°πŸ˜ @djmokenya zawadi yangu, yangu moja, swity mwenzangu tulishinda mlima huo na sasa inaonekana kama kilima cha mchwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na Nguvu za Mungu zenye nguvu kupitia roho yake Takatifu hakuna lisilowezekana," Size 8 Aliandika.