'Siku yako ya kuzaliwa ni hafla nzuri yenyewe,'Lulu Hassan amwandikia Kanze Dena ujumbe wa kipekee

Muhtasari
  • Lulu Hassan amwandikia Kanze Dena ujumbe wa kipekee
  • Lulu kupitia kwenye ujumbe wake amemshukuru Mungu kwa urafiki wake na Kanze Dena
kanze
kanze

Mwanahabari Luu Hassan na  na Kanze Dena ni marafiki wa karibu tangu walipokuwa wakifanya kazi pamoja katika kampuni ya Royal Media.

Huku Kane akisheherekea siku yake ya kuzaliwa kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram wa Lulu amemwandikia ujumbe wa kipekee.

Lulu kupitia kwenye ujumbe wake amemshukuru Mungu kwa urafiki wake na Kanze Dena.

Siku yako ya kuzaliwa ni hafla nzuri yenyewe. Walakini, kwangu, ni siku maalum inayoniruhusu kumshukuru Mungu kwa yote ambayo urafiki wako umekuwa na maana kwangu, heri njema siku yako ya kuzaliwa mamii," Aliandika Lulu.

Hizi hapa jumbe za mashabiki wakimtakia siku njema Kanze Dena.

kanze_dena: Thank you dadaa @loulou_hassan. Daaa enzi hizo leo ungekuwa busy saaana usiuze surprise....๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.I sure miss those moments... always be my special i

glora_maria:happiest birthday to my big sizโค๏ธ

ashamo_hammed: Happy birthday Kaydee @kanze_dena

annemawathe: Ohhhhh Kaydeee look at you two...hii picha should be entered for an award ๐Ÿ˜‚ ....Happy birthday.

jsanaipei: Happy birthday kanze๐Ÿ˜๐Ÿ˜

yourhealth_ke: Happy happy birthday ๐Ÿ‘‘

lindaobiero: Happy birthday Kanze