Kutana na wanawe Grace Msalame wanaposheherekea siku yao ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Mtanazaji Grace msalame, amebarikiwa na watoto watatu, huku akiwa amebarikiwa na mapacha, amabo alipata na aliyekuwa mume wake Paul Ndichu
Grace-Msalame-with-her-twins
Grace-Msalame-with-her-twins

Mtanazaji Grace msalame, amebarikiwa na watoto watatu, huku akiwa amebarikiwa na mapacha, amabo alipata na aliyekuwa mume wake Paul Ndichu.

Alimkaribisha mwanawe Isaiah mwaka jana 2020 Oktoba, alitangaa habari hizo njema kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram.

Huku akiwatakia mapacha wake siku njema ya kuzaliwa Grace alimuomba MUngu awalinde katika maisha yao.

 

"Timu rasmi nambari mbili mara mbili๐Ÿ”Ÿ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐ŸŽ‚

Utukufu kwa Mungu kwa hatua hii kubwa !!! Nashukuru sana kwa Rehema Zake na Uaminifu Wake

Tamu yangu, wenye werevu, usanii, Mbuni wanawake nzuri nyote wawili mnapendwa sana, mmeabudiwa & kusherehekewa

Imekuwa miaka 10 ya safari bora ya maisha yangu! Kuheshimiwa kuwa Mama yako Zawadi Zangu za Furaha isiyo na mwisho ... Siku ya kuzaliwa ya kufurahisha Zawadi & Raha๐Ÿ’œ๐Ÿ’–

Bwana awabariki nyote na awaweke na awafanyie Uso Wake Kukuangazia Siku zote za maisha yako," Aliandika Grace.

Kutoka kwetu wanajambo tunawatakia siku njema ya kuzaliwa.