'Mama wa wengi, dunia yangu,'Muigizaji Wanjiku Mburu ampoteza mama yake

Muhtasari
  • Aliyekuwa muigizaji wa Kipindi cha Machachari Wanjiku MBuru maarufu Mama Baha anaomboleza kifo cha mama yake
  • Mama Baha alimpoteza mama yake siku ya Ijumaa 16,Aprili,2021
Mama-Baha-Wanjiku-Mburu (1) (1) (1) (1)
Mama-Baha-Wanjiku-Mburu (1) (1) (1) (1)

Aliyekuwa muigizaji wa Kipindi cha Machachari Wanjiku MBuru maarufu Mama Baha anaomboleza kifo cha mama yake.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha ya mama yake huku akimsifia na kutangaza habari za kifo chake.

Mama Baha alimpoteza mama yake siku ya Ijumaa 16,Aprili,2021.

 

Baada ya kupakia picha yake aliandiika ujumbe ufuatao;

"Malkia amepumzika, mama wa wengi, mpendwa wangu,dunia yangu Sallyjoe," Aliandika Wanjiku.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za rambirambi za mashabiki;

the._real_boss: Sorry for the loss auntie Shiku😢may her soul RIP.

samsammy_26: Poleni. Take heart in prayers with you during these difficult times

muruamziki: Deepest condolences. Pole sana

kelly_murula: Pole pole @therealwanjikumburu Wanjiku God is in control

 

msnovah: Pole may she rest in peace❤️

kamaukim: condolences to you and the family...may she R.I.P

rozzie.mutiku: R.i.p mama. Dance with the angels