Kutana na wasanii ambao wanashehrekewa sana Afrika mashariki

Muhtasari

Kuwa katika tasnia ya burudani sio kazi rahisi kwani wengi wa wasanii hupokea kejeli nyingi kutoka kwa mashabiki kwa kle ambacho wanafanya.

koffi
koffi

Kuwa katika tasnia ya burudani sio kazi rahisi kwani wengi wa wasanii hupokea kejeli nyingi kutoka kwa mashabiki kwa kle ambacho wanafanya.

Kuna wale walishindwa na safari ikiwa katikati na kuacha kazi ya usanii na kufanya mambo mengine kama vile kufungua biashara.

Baada ya kukejeliwa na mashabiki kuna baadhi ya mashabiki ambao walikata tamaa na kukaa hivyo bila ya kutimiza ndoto zao.

 

Pia kuna wale wamekabiliana na kejeli na sifa moja kwa moja huku wakifaulu kwenye tasnia hiyo.

Bali na kuwa na wasanii mbali mbali na wengi Afrika Mashariki kuna baadhi ya wale wanasheherekewa sana na mashabiki na wanafahamika kwa sana.

Hawa hapa baadhi ya wasanii ambao wanasheherekewa na wamesheherekewa sana Afrika Mashariki.

1.Koffi Olomide

Ni msani wa nyimbo za Rhumba ambaye anapendwa sana kwa aili ya ubinifu wake katika nyimbo zake.

Koffi amefanya collabo tofauti na wasanii tofauti, huku collabo yake ya awali na Diamond ikipendwa sana na mashabiki.

2.Diamond Platnumz

 

Ni msanii kutoka Tanzania ambaye ni staa wa bongo, Simba alifahamika sana kwa kupitia kwa nyimbo zake tofauti.

Diamond Platnumz

Amekuwa akifanya collabo na wasanii tofauti kutoka nchi tofauti, na hata kukuza vipaji vya wasanii wenzake.

3.Nadia Mukami

Ni msanii mwenye umri wa chini lakini licha ya hayo yote Nadia amekuwa akitia bidii kila kuchao huku akipendwa na mashabiki wake.

Nadia-2-e1566897594626-696x395
Nadia-2-e1566897594626-696x395

4.Nameless

Ni msanii ambaye amekuwa katika tasnia ya burudani kwa zaidi ya miaka 5, amekuwa akiwaburudisha mashabiki wake kila siku kupitia kwa nyimbo zake.

nameless
nameless

5.Jose Chameleone

Kwa sauti yake ya kipekee nyimbo zake zimependwa sana Afrika Mashariki, huku akisheherekewa na mashabiki kila kuchao.

BigEye.UG
BigEye.UG

Miongoni mwa wasanii wengine ambao ni pamoja na Sauti sol,Alikiba,kansoul,Mejja,Harmonize,Darasa,Otile Brown miongoni mwa wengine.