Ni wakati wanaume wanapaswa kujukumika,'Msanii Loise Kim ataka wanaume washikilie majukumu yao

Muhtasari
  • Msanii wa nyimbo za kikuyu Loise Kim kwa mara tena kupitia kwenyeukurasa wke wa instagram amewataka wanaume wachukue majukumu yao

Msanii wa nyimbo za kikuyu Loise Kim kwa mara tena kupitia kwenyeukurasa wke wa instagram amewataka wanaume wachukue majukumu yao.

Usemi wake unajiri wakati wanawake wengi wanalia shida baada ya wanaume waliowazalisha kutoroka majukumu yao hasa wakati huu wa janga la corona.

Wanawake wengi wamekuwa wakiwalea watoto wao pekeyao baada ya wanaume kutoroka majukumu yao, ilhali wanafahamu vyema kuwa hiyo ni damu yao.

 
 

"Ni wakati wanaume wanapaswa kuitokeza na kile walichonacho na kuchukua majukumu yao kama akina baba

Kuwaachia wanawake mzigo wote wa kifedha na kihemko sio sawa." Aliandika Loise

Haya hapa maoni ya mashabiki;

claritakenzo: It's so bad . Yani a man makes u pregnant don't even care where I live or what I eat . That's the bitterness causing pple to commite murdere

irene_njeri_254: Kabisa Mum, umegonga dipo, they must step up.

rolphoebe: U can say that again..

joshuakamets: Not all men leave financial burden to woman....check around we have great father's.

 
 

oscarm.kaduma: Yaah. But we need to share the cost instead of leaving everything to men. I'm the head of the house and ur (woman) the body of the house. 😍😂😂

Wanaume natumai mumeona ujumbe n