Hongera:Msanii Moji Short baba afanya harusi na mpenzi wake wa maisha

Muhtasari
  • Msanii Moji Short baba afanya harusi na mpenzi wake wa maisha
  • Habari hizo njema alitangaza msanii huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram

Msanii wa nyimbo za injili Moji Short Baba sasa ni mume wa mtu hatafuti mke hii ni baada ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wa maisha yake Nyawira.

Habari hizo njema alitangaza msanii huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram.

Baada ya kupikia moja ya picha za hafla hiyo alikuwa na haya ya kusema;

 

"Nimengoja kutumia mstari huu kwa muda mrefu sana, mtu ambaye amepokea mke amepokea kitu chema na hupokea kibali kutoka kwa Bwana

Methali 18:22 @nyawiragachugi  nashukuru kwa maana nilikupata, na siwezi kusubiri na kuona kile Mungu ametuekea,' Aliandika.

Marafiki, na mashabiki wamempongeza msanii huyo kwa hatua aliyoifanya.

djmokenya: Congrats

hopekidhk: Congratulations πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

daddyowen: Congratulations bro πŸ‘πŸ‘πŸ‘

alex_mwakideu: Congrats kaka. πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ

 

timelessnoel: Finally Babaa amepata Mamaa. Congratulations πŸ₯³

joyceomondi: Congratulations guys!!! πŸ™ŒπŸΎ πŸ™ŒπŸΎ ✨ ✨ ✨