Nilipata 'sponsor' wangu anamchumbia mama yangu pia-Mwanamke asimulia

Muhtasari
  • Mwanamke asimulia jinsi alimpata 'sponsor' wake ni mchumba wake mama yake

Ni maajabu yapi ambayo hatujayasikia na kuyaona hasa katika karne hii inajiita ya digitali?

Kweli hawakukosea waliposema ukistaajabu ya musa utayaona ya Phirauni, mwanamke mmoja aliwaacha wengi midomo wazi baada ya kusimulia jinsi alimpata 'Sponsor wake anamchumbia mama yake.

Huku akisimuia hadithi yake mwanamke huyo alisema kwamba alipata picha za mwanamume huyo akiwa uchi kwenye simu ya mama yake.

 

"Nilikuwa na huyu mwanamume ambaye alikuwa 'sponsor' wangu kwa miaka tatu, wiki jana nilichukua simu ya mama yangu na nikapata picha zake akiwa uchi

KUmbe walikuwa wanatumiana picha wakiwa uchi, na wamekuwa pamoja kwa muda sasa, baba yangu aliaga dunia lakini mimi sina kwa maana ni wapenzi

Nimemwamchia mama yangu mwanamume huyo kwa maana alikuwa na miaka mingi kunishinda, vitu vyote ambavyo alikuwa ananisaidia waca asaidia mama yangu," Alisimulia 

Je ukimpata mwanamume au mwanamke wako ana chumbia mmoja wa familia yako utafanya kama mwanamke huyu au utaanza vurugu isiyoeleweka.