'Ukiumbwa tulikuwa wapi?'Mashabiki wasifia urembo wake muigizaji Brenda Wairimu

Muhtasari
  • Mashabiki wasifia urembo wake muigizaji Brenda Wairimu
  • Muigizaji Brenda Wairimu ni miongoni mwa waigizaji ambao walifahamika kutokana na uigizaji wao

Muigizaji Brenda Wairimu ni miongoni mwa waigizaji ambao walifahamika kutokana na uigizaji wao.

Brenda alifahamika sana wakati wa kipindi cha Monica na Maria,mama huyo wa mtoto mmoja kwa kweli amebarikiwa na urembo wa kipekee.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha akiwa bichi, huku mashabiki wakimsifu kwa ajili ya urembo wake.

 

KUna wale walishindwa kwani muigizaji huyo akiumbwa wengine wao walikuwa wapi.

Baada ya kupakia picha yake aliandika ujumbe huu;

"Na kisha nikajifunza kuwa uaminifu bila fadhili ni unyama. Na wema huo bila uaminifu ni ghiliba." Aliandika Brenda.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki wakisifia urembo wake muigizaji huyo.

carol_shee: 20Ukiumbwa tulikuwa wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

boss_bee8: 8Kweli kabisaa somo πŸ™Œ

atieno.metrin: Av nothing to say,,Yani u just kill everythig

 

aaliyah__khxn_: Waah, sasa kitanda ilifika aje kwa beach πŸ– πŸ˜‚

nguvu_za_kiume_za_kudumu_: Kama tulivyokubaliana wanaume Show show tu wanawake watukimbie kwa mambo mengineπŸ˜…πŸ˜… πŸ”₯πŸ”₯πŸ€Έβ€β™‚οΈ

anitamaina: EISH dada !!! Vipi umeamua kutumaliza !

kunmwase: And there she's, stunning at the beach πŸ–οΈπŸ₯°