'Siwezi kuamini tayari ni mwaka mmoja,'Msanii wa nyimbo za injili Ben Cyco amuomboleza dada yake

Muhtasari
  • Msanii wa nyimbo za injili, Ben Kariuki maarufu Ben Cyco siku ya Jumanne ametimiza mwaka mmoja tangu dada yake aage dunia
51c4dc2d37cf8fb9d102f36a510d3a9b-696x711
51c4dc2d37cf8fb9d102f36a510d3a9b-696x711

Msanii wa nyimbo za injili, Ben Kariuki maarufu Ben Cyco siku ya Jumanne ametimiza mwaka mmoja tangu dada yake aage dunia.

Dada yake msanii huo aliaga dunia kutokana na saratani ya damu mwaka wa 2020 huku akiendelea kupokea matibabu.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instgram Ben alikuwa na haya ya kusema huku akimuomboleza Joy.

 

Sisi watatu tena,endelea kupumzika @ fu.raha. Siwezi kuamini tayari ni mwaka mmoja . Ninaomba pia faraja na amani kwa mtu yeyote anayepitia huzuni, sio rahisi lakini Mungu anafariji na yuko karibu na waliovunjika moyo, Amani yake izidie❤ @kiirusam," Aliandika Ben.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

wanjiru_njiru: She must be looking down on you and beaming with so much pride! ❤️

nataliegithinji: it is well dear ❤️❤️🤗

nyawiragachugi: Amen. Chin up brother. God is in our side.

elimwenda: Keeping you in my prayers brother 🙌🏾

sophienderitu: Furaha 💕.....peace and joy to you uncle Ben .we love you

 

rowie_ndakwe: More grace to you @bencyco

mercy_waithira: 💛💛💛 May God continue comforting you.

kiragu_reggie: I miss you so much girl 🕊 ♥️. Keep shining on us