'Nakosa mapenzi yako,'Msanii Nyota Ndogo amwambia mumewe baada ya kumtema

Muhtasari
  • Msanii kutoka mkoa wa pwani Nyota Ndogo na mumewe waliachana Aprili, jambo ambalo limekuwa ngumu kwa msanii huyo kama alivyo taja kwenye ukurasa wake wa instagram
  • Kulingana na msanii huyo alidhani kwamba pesa ni kila kitu lakini ameamini kwamba pesa sio kila kitu kwani anapeza mapenzi ya mumewe
nyota ndogo
nyota ndogo

Msanii kutoka mkoa wa pwani Nyota Ndogo na mumewe waliachana Aprili, jambo ambalo limekuwa ngumu kwa msanii huyo kama alivyo taja kwenye ukurasa wake wa instagram.

Kulingana na msanii huyo alidhani kwamba pesa ni kila kitu lakini ameamini kwamba pesa sio kila kitu kwani anapeza mapenzi ya mumewe.

Wawili hao waliachana baada baada ya mzaha wake msanii huyo kwa mumewe siku ya 'Fools Day'.

 

Nyota alidai kwamba siku hiyo alimdanganya mumewe kwamba ni mjamzito bali licha ya kufahamu ulikuwa mzaha amemnyamzia.

"Tafadhali njoo kwangu. mimi hata sio pesa nalilia mapenzi. Nilikua mtu asiye jali kwa maana nakula nalala vizuri najilipia bills zangu mwenyewelakini kitu kimoja nakosa kutoka kwako ni mapenzi.

Kumbe pesa sio kila kitu muimu kupata mtu unaempenda na wewe kwako nimefika mwisho yani kama hurudi ntajifia single." Aliandika Nyota Ndogo.

Hizi hapa hisia za mashabiki baada ya ujumbe wake msanii huyo;

carolynpeter203Its seems like he was only looking for a reason anywei I hope he's gonna come back pole dear

ancop_the_mc: Ukimpigia sim anasemaje??🚫😉😀

sylviakapchanga: Lakini mbona ni kama alikua anatafuta tu sababu. Prank tu ifanye mtu akuache....sijapenda kama shabiki wako😂

 

byb_nihad1: Mfate sio kuandika apa mzungu huyo sasaivi wapenda pesa watamchukua ubaki motivational speaker

lmeldasakina: Relax atakuja tu❤️❤️❤️❤️

makenafab: Alikuwa amepanga kukuacha from kitambo.alikuwa anatafuta sababu ya kukuacha na wewe ukampa sababu..ni maisha usijali🤣🤣🤣🤣

xtineclementain: This man clearly alikua anatafuta sababu ya kuku wacha, prank tu haiwezi fanya akasirike mpaka leo if he truly loved you, move on my dear, dnt give urself hypertension for nothing, u got kids to raise