'Pesa hubadilisha mtu,'Wake ya wamwambia Mike Sonko baada ya kupakia picha hii

Muhtasari
  • Gavana wa zamani wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko ambaye alibaduliwa mamlakani na wawakilishi wadi wa Nairobi mapema mwaka huu
Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko

Gavana wa zamani wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko ambaye alibaduliwa mamlakani na wawakilishi wadi wa Nairobi mapema mwaka huu, alipakia picha kwenye ukurasa wake wa facebook ambayo iliwaacha wakenya wakizungumza.

Kwenye picha hizo Mike alikuwa na mkewe na wanawe kabla ya kupata pesa huku wakenya wengi wakidai kwamba pesa hubadilisha watu.

Mike amekuwa akiwasaidiwa wakenya wanyonge mara kwa mara.

 Hizi hapa hisia za wakenya baada ya kuona picha hizo za gavana huyo wa zamani;

Sammy Ondimu Ngare:  Nimeamini pesa inachange mtu sure..haki nimeamini sina kakitu..

Ann Wanjiru Karanja: napenda your wife bure tuu.....i admire her humility

Timothy Mwambago: When you humble yourself before God, definitely He will lift you UP.

Everlyne Koech: You look like pastor ng'ang'a was Neno Evangelist

Kathu Merry: Shida ni mbaya hufanya mtu awe mrefu.

ylvianyamz Nyamz: Kwan ulikuwa headteacher kitambo...gaki chibesa ne chinkiya! Lakni hyo fundi will neva see heaven if he/she is still alive😀😀...meanwhile👇