Msanii Chipukizi wa Tanzania Louis atoa EP inayofahamika kama 'Lights on me'

Muhtasari
  • Msanii chipukizi wa nyimbo za RnB kutoka Tanzania LouiS ametoa EP iliokuwa imesubiriwa sana na mashabiki wake
Msanii Louis

Msanii chipukizi wa nyimbo za RnB kutoka Tanzania LouiS ametoa EP iliokuwa imesubiriwa sana na mashabiki wake.

EP hiyo inafahamika kama 'Lights on me' kupitia EP yake msanii huyo atajitambua kama anaweza katika tasnia ya burudani au la.

EP yake ina nyimbo 6.KOna, Hennessy, Unanimaliza,leo,sawa na lost ni EP ambayo imezalishwa na wazalishaji  maarufu Tanzania S2kizzy na Trone.

Huku akizungumzia EP yake alikuwa na haya ya kusema;

Louis

"Najivunia sana na nina shukrani kuu kufanya kazi na wazalishaji wa kushangaza katika EP yangu nimekuwa shabiki wao mkubwa licha yao kupewa majukumu ya nyimbo ambazo zitafahamika na zitavuma sana Afrika Mashariki

Pia kuwa na lebo na timu yangu katika kufanya kazi yangum kama wewe ni shabiki wa nyimbo basi uko katika mahali pema, furahini," Alisema Louis.

Louis alikuzwa mjini  Dar Es salaam Tanzania ambapo alipenda muziki huku akijiunga na kwaya katika shule ya upili.

Akiwa katika shule ya upili Louis alipenda nyimbo za wasanii kama Wizkid,Chris Brown miongoni mwa wengine na hata kutamani miundo, na maudhui ya nyimbo zao.

Msanii huyo alianza kuimba kama njia ya kujifurahisha lakini akajipata anapenda muziki.

Akiwa kwenye chuo kikuu, Louis alisam kwamba ni wakati ambao ulikuwa mggumu kwani alikuwa anasoma na pia kujaribu kuimba.

Ana shahada ya kwanza katika akaunti

Huu hapa wimbo wake unafahamika kama KOna;

Loui - Kona (Official Video) Loui - Kona (Official Music Video) Kona is song, which genre is an Afrobeats called Amapiano. Mainly a south African type of song. In this song I am mainly talking about Africa diaspora trying to connect with them in some way. The aim of this song is to call upon all African people living in deferent places to have that feeling of coming back to their origin and that’s AFRICA. Verse 1. “I’ve been living in big cities like London, but I’ve never find no places like my home” girls in this city are so fine but I can't see place like my home .................................................................. Subscribe for more official content from Loui: https://bit.ly/Louitube Follow Loui Instagram: https://www.instagram.com/iamloui_ Twitter: https://twitter.com/_iamloui Facebook: https://www.facebook.com/legacyrecord... TikTok: https://vm.tiktok.com/ZMettuAyN/ Listen to Loui Tidal: https://tidal.com/browse/album/181254702 Audiomack: https://audiomack.com/legacyrecord/album/louiep Boomplay: https://www.boomplaymusic.com/share/album/24482819 spotify: https://open.spotify.com/album/1cwficZiHveLBJE3WHJhJm?si=0lxWaUzLReK-PXW9BKrmsA Deeper: https://deezer.page.link/RXGZvRDJYQsfdzpp6 Apple Music: http://itunes.apple.com/album/id/1563910804 Itunes:http://itunes.apple.com/album/id1563910804?ls=1&app=itunes Watch full dance video By Kanazi Talent. African kids dancing Afrobeat (Official Dance Video) Youtube: https://youtu.be/nGISttbaT84 Loui - Kona (official dance video ) by Kanazi talent kids African kids dancing Afro Beat By Kanazi Talent (Official Dance Video) African kids dancing Amapiano Kona By Kanazi Talent (Official Dance Video) Loui - Kona (official Video) Smile and Dance ❤️ ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ ►►►►►►►►► THANKS FOR WATCHING ◄◄◄◄◄◄◄◄◄ ► AND DON'T FORGET TO LIKE COMMENTS AND SUBSCRIBE! Distributed by LEGACY RECORD, INC ©legacyrecord 2021