- Msanii Akothee awafurahisha mashabiki kwa ujumbe huu
- Hii ni baada ya kupakia picha ya mwanandoa Kabi Wajesus,wakionyeshana mahabara ya mapenzi
Mwanabiashara,msanii Esther Akoth maarufu Akothee, amezua mjadala mkali mitandaoni baada ya kusema kwamba amechoka kufichwa na mpenzi wake kama dawa za waathiriwa wa virusi vya ukimwi.
Hii ni baada ya kupakia picha ya mwanandoa Kabi Wajesus,wakionyeshana mahabara ya mapenzi.
Akothee baada ya kupakia picha hiyo alikuwa na haya ya kusema;
"Mimi kenye imewahi nibeba in public tu ni ndege , hizi zingine tunakula KWA macho π€π€π€π€π€π€π€Sambary njoo unibebe pia Nimechoka kufichwa kama ARVs ππ€¦π€¦π€¦π€¦
Naimba tu mistri ya wimbo wangu mpya Hii couple wananiharakishia maisha sana, watolowe Instagram mpaka nipate bwana ππππ€¦ππ€¦π€¦ Ala," Aliandika Akothee.
Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;
kabiwajesus: ππππ madam Boss wanauliza pin location wakukujie
yycomedian: Taji ashajua kupiga pichaππ
mishi_west: Nabebwa na usingizi mimiπ’πππ
shashashally: Husiharakishwe
terrymugambi: ππππππusijali boo..your time is coming β€οΈπ