Tulifumaniwa na mpenzi wa mpango wangu wa kando tukifanya mapenzi-Mwanamume asimulia

Muhtasari
  • Mwanamume aeleza jinsi alifumaniwa na mwanamke wa wenyewe

Ni kitu kipi ambacho hakijawahi shuhudiwa au kutendeka karne hii ya sasa na kuwaacha wengi na maswali chungu nzima?

Mambo ya ajabu, na ya kushangaza yamekuwa yakitendeka kila kuchao kwa ajili ya mapenzi.

Mwanamume mmoja alikuwa na ujasiri wa kutosha, nilipokuwa katika ziara zangu na mazungumza na wananchi, ambaye alisimulia jinsi alipatikana na mpenzi wa mpango wake wa kando akifanya tendo la ndoa.

Kulingana na mwanamume huyo sio mara yake ya kwanza kupatwa na mwanamke wa mtu lakini licha hayo yote hakujifunza chochote au lolote.

"Mwezi uliopita nilimuita mpango wangu wa kando nyumbani kwangu, kwwani nilikuwa nimempeza sana, kumbe mpenzi wake alikuwa ameikishiwa fununu nina uhusiano wa kimapenzi naye

Mpenzi wake alimfuata, hadi kwangu, alingoja hadi mahali mchezo ulifika juu, hadi tukaanza kushiriki  tendo la ndoa alitufumania kisha tukaanza kupigana

Hii sio mara yangu ya kwanza kupigana na mwanamume kwa ajili ya mwanamke, wala kufumaniwa, ndio nilifahamu alikuwa na mpenzi na mimi nilikuwa na mpenzi, lakini mtu hubadilisha ladha ya chakula

Zaidi ya yote nilimuomba mpenzi wake msamaha na nikamuacha mpenzi wake," Alisimulia mwanamume huyo.

Je ushawahu fumaniwa ukifanya kitendo hakistahili na kitendo hicho ni kipi?