(+PICHA) June Ruto afunga pingu za maisha na mpenziwe

Muhtasari
  • June Ruto afunga pingu za maisha na mpenziye

Mwanawe naibu rais William Ruto,June Ruto Alhamisi,Mei,27 itakuwa siku ya kukumbuka katika maisha yake.

Hii ni baada ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake kutoka Nigeria, hii ni baada ya familia yake kutembela familia ya Ruto siku chache zilizopita.

Ni hafla ambayo inafanyika mtaa wa Karen, na ambayo imehudhuriwa na familia,marafiki wa karibu na wale waliohalikwa.

Kutoka kwetu wanajambo hongera sana June Ruto.

Hizi hapa baadhi ya picha na video za hafla hiyo;