'Sai Bishana na akina Embarambaba,' Khaligraph Jones amwambia Bien baada ya haya

Muhtasari
  • Msanii Bien Aime Sol wa bendi ya Sauti Sol alipakia video ya rappa wa Marekani Bird man na kumtania rappa wa humu Nchini Khaligraph Jones
khali-e1471415170725
khali-e1471415170725

Msanii Bien Aime Sol wa bendi ya Sauti Sol alipakia video ya rappa wa Marekani Bird man na kumtania rappa wa humu Nchini Khaligraph Jones.

Baada ya kupakia video hiyo aliandika ujumbe na utani ambao ulikuwa uamwendea Khaligraph Jones.

Baada ya Jones kuona ujumbe wake Jones alimshauri Bien ashindane na msanii kutoka Kisii Embarambamba.

"Hivi ndivyo nataka kukuza studio ya Khaligraphs Jones lakini naona nywele yake inaisha kwa hivyo anaweza jiunga na klabu ya Bald gang," Aliandika Bien.

Bien alimkaribisha Jones, huku rappa uyo akimjibu;

Ndugu yangu niko Amerika, Sai bado nabishana Na kina Lil wayne, I will deal with You local Artists when i Get back, sai Bishana na akina Embarambaba,"