Haya maisha mafupi kuombeana mabaya-Nyota Ndogo awashukuru mashabiki

Muhtasari
  • Baada ya hayo, msanii huyo alichukua fursa na kuwashukuru mashabiki wake hasa wale wameuwa wakimtia moyo
  • Pia aliwaambia kwamba wanapaswa kuombeana mazuri kwani maisha haya ni mafup kuombeana mabaya
83532576_627204834703118_8454513908795708531_n
83532576_627204834703118_8454513908795708531_n

Baada ya mumewe msanii kutoka mkoa wa pwani Nyota Ndogo kujibu jumbe zake alionekana mwenye furaha na mchangamfu.

Kwa muda sasa, wawili hao hawajakuwa katika hali ya kuelewana huku msanii huyo kutoka Pwani akitumia mitandao ya kijamii kujaribu kumsihi mumewe kumrudia.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia ujumbe au majibu yake mumewe, huku akisema ana furaha.

Baada ya hayo, msanii huyo alichukua fursa na kuwashukuru mashabiki wake hasa wale wameuwa wakimtia moyo.

Pia aliwaambia kwamba wanapaswa kuombeana mazuri kwani maisha haya ni mafup kuombeana mabaya.

"Ninafuraha tena nyingi sana.Asanteni sana mashabiki kwa kuniitia moyo. Nawapenda Sana. Nimeona furaha ya watu wengine pia walihisi furaha yangu. Haya maisha mafupi kuombeana mabaya..asanteni," Aliandika Nyota.

83532576_627204834703118_8454513908795708531_n
83532576_627204834703118_8454513908795708531_n
83532576_627204834703118_8454513908795708531_n
83532576_627204834703118_8454513908795708531_n