Muigizaji Awinja asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe anapohitimu miaka 4

Muhtasari
  • Muigizaji Awinja asheherekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
Jacky Vike
Jacky Vike

Muigizaji Jacky Vike maarufu Awinja kupitia kwenye wake wa instagram alisheherekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe kwa ujumbe wa kipekee.

Awinja aliwasihi mashabiki wake wamtakie mwanawe siku njema anapohitimu miaka 4.

"Watu wangu mwanangu Mosi just amehitimu miaka 4,tafadhali nisaidieni kumtakia heri njema ya kuzaliwa na niahidi nitamsomea zote moja kwa moja๐Ÿ˜

Tunamshukuru Mungu kwa umbali ambao ametutoa

Na ndio anapenda Spider-Man, Yani kila kitu kwa hii nyumba  inakuanga tu Spider-Man this and that

hadi akona Sahani ya Spider-Man ๐Ÿ˜…

Alafu in no time kataniambia Spider-Man ni vitu za watoto๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ," Aliandika Awinja.

Hizi hapa jumbe za mashabiki;

hassansarah: Happiest birthday to the hun๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰

shixkapienga: Awwww happy birthday to my litu champ โค๏ธโค๏ธโค๏ธ....na sisteee dusko imeanza kuchomoka yoh, formation? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜

nyaminde: A very happy birthday to our lil' spiderman!โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ

weezdom254: Happy Birthday to the Young King๐Ÿ‘‘

nycewanjeri: Happy birthday little man ๐Ÿ˜