Wimbo wa msanii Mejja watolewa kwenye mitandao ya Youtube

Muhtasari
  • Wimbo wa msanii Mejja watolewa kwenye mitandao ya Youtube
Mejja
Image: Hisani

KIbao chake msanii Mejja 'Tabia za wakenya' kimetolewa kwenye mitandao ya kijamii ya youtube.

KUpitia kwenye ukurasa wake wa instagram msanii huyo alitangazia mashabiki wake habari hizo.

Ni kibao ambacho kilikuwa kimepokea watazamaji zaidi ya milioni 1.6,msanii huyo aliweka wazi kuwa hata kata tamaa kwa yale anapitia.

"Hii Ndio Ngoma IMe Strike #TabiaZaWaKenya Kwa YouTube UJINGA!!!! YaaNi I Am Speechless, NiMeTumiwa Kwa Mail Na YouTube YaaNi UFala Na Deal NaYo Hate Ingine Noma lakini sitakata tamaa,nimeacha kuwa mwanamume mnyenyekevu tena

Hii Na Deal NaYo!!!! YaaNi NiMeskia Vibaya Manze Juu Nimeambiwa Rule Ya YouTube Ni It Doesn't Matter Kama NiKo Right Lazima Ikae Two Weeks Ndio Irudi YouTube SIR JAH AKO Na Mimi YOU Can SLOW ME DOWN BUT I AM NOT GIVING IN GOD ABOVE EVERYTHING,"Aliandika Mejja.